Jinsi ya Kujisajili

Mtu yeyote ili atumie Programu ya Kibaba Vicoba Solution lazima ajisali kwa kutumia Namba yake ya simu ya Kiganjani. Namba ya simu ni lazima ili uweze kujiunga na Kibaba VS.

Pia unaweza kuweka Email yako ili kuweza kupata taarifa zaidi juu ya Programu ya Kibaba VS.

Was this article helpful?

Related Articles