Akaunti za Fedha

Aina ya Akaunti

Hapa utachagua aina ya Akaunti unataka kuwaka kweye Kikundi chako, kati ya ina hizo, Akaunti ya Tasilimu ni Akaunti ambayo si ya kibenki yaani kama utunzaji wa fedha ni wa Sanduku au Begi. Upande wa Akaunti ya Benki utachagua kama Akaunti yako ni Benk akaunti au Mtandao wa simu

Jina la Akaunti

Weka jina la akaunti litakalotambulisha Akaunti yako, kama ni akaunti ya Benki weka Jina ulilofungulia Akaunti au kama ni Mtandao wa simu, weka jina ulilosajilia Mobile Money.

Namba ya Akaunti

Kama Akaunti yako ni ya kibenk basi ingiza namba ulizopewa na Benki yako na kama Akaunti ni ya Simu basi ingiza namba ya simu hisika.

Jina la Taasisi au Benki

Hapa utajaza jina la Taasisi ya kifedha inayohudumia akaunti yako Taasisi inaweka kuwa Benki au Mobile Money

Was this article helpful?

Related Articles