Jinsi ya Kusajili Kundi jipya

Ili uweze kusajili Kikundi chako kwanza lazima ujisajili na usiwe mwanachama wa kundi lililopo kwenye Kibaba VS. Ingawa unaweza kutumia utambulisho mwingine kujiunga kwenye kundi zaidi ya moja.

Sasa ili uweze kusajili kundi, hatua ya kwanza ni kujisajili wewe binafsi, kisha uipe uhai akaunti yako (Activate). Ukilogin kwa mara ya kwanza utakuta form ya kuunda kundi jipya.

Bonyeza pale pa “UNDA KUNDI JIPYA” Kisha jaza fomu ya kuunda kundi alafu bonyeza next mpaka mwisho.

Was this article helpful?

Related Articles