Unda Kategoria

Kategoria au Category hutumika kutambulisha aina ya Muamala unaoingia kwenye hesabu za Kikundi.

Kategoria zipo nyingi, zipo zinazoonekana na zisizoonekana moja kwa moja mfano (Hisa, Jamii, Mikopo, Marejesho na kujitio uanachama)

Matumizi ya Kategoria ni pamoja na Pale Kikundi kinapoamua kufanya Mradi. utatengeneza Jina la Mradi kama Kategoria.

Jina la Kategoria

Hili ni kina la Kategoria

Matumizi

Chagua matumizi kama Kategoria unayoingiza itaenda kuwa kama matumizi (au pesa itatoka kundini)

Mapato

Chagua mapato kama Kategoria unayoingiza itaenda kuwa kama mapato ya Kikundi

Was this article helpful?

Related Articles