Jinsi ya kujiunga na kundi ambalo limesajiliwa Kibaba VS

Mwanachama akisha jisajili na akisha ipa uhai akaunti yake ya Kibaba anaweza kulogin. Kama ni mara ya kwanza kulogin, atakutana na fomu ya kujiunga na Kundi kama lipo tayari kwa kuingiza namba ya Kundi ya Umma (Public Key).

Ukichagua kuwa “Ni mwanachama tayari” maana yake wewe ni Mwanachama wa Kikundi ambacho kimesha jisajili kwenye Kibaba VS. Ili kujiunga na Kikundi lazima uwe na Namba ya Umma (Public Key) . ambayo utaingiza kama hapo chini.

NB: Utaipata hii number kutoka kwa Admin wako wa group.

Ukifanikiwa kuingiza namba hizo moja kwa moja utapelewa kwenye Dashibodi ya Kibaba VS.

Was this article helpful?

Related Articles