Mifuko ya Ziada ya Jamii

Hii ni mifuko ya ziada ya Jamii, mifuko hii ni ya ziada endapo kikundi kinataka kukusanya fedha kwa shughuli maalumu.

mfano: Ukiachana na Michango ya Jamii ya kawaida, Kikundi chaweza kuwa na mifuko mingine maalum kama Elimu, Afya n.k

Jina na Mfuko Jamii

Hapa utaweka jina litalotumika kama kitambulisha mfuko

Kiasi

Hiki ni kiasi ambacho kila mwanachama anapaswa kuchangia kutokana na makubaliano ya kikundi.

Was this article helpful?

Related Articles