Kibaba imepata mwonekano mpya Posted 13 November 2020 By Forum Moderator Under General/ Promo Tumebadili mwonwkano wa Kibaba Vicoba app, hii ni maandalizi ya toleo jipya linalokuja hivi karibuni.