JINSI MFUMO WA VICOBA UNAVYOFANYA KAZI TANZANIA

VICOBA (Village Community Bank) ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Mfumo huu ulianza Tanzania miaka kumi iliyopita na umeonyesha mafanikio makubwa kwa wanachama wake kuweza kukopeshana, kusaidiana katika matatizo mbalimbali, kuanzisha miradi ya pamoja ya kiuchumi. LENGO/MADHUMUNI YA […]

tangazo la Kibaba for Vicoba Tanzania

Vicoba App na Vicoba Program

Vicoba App ni app iliyobuniwa kwa ajili ya kurahisisha kazi za vikundi vya Vicoba. App hii inafanya kazi kwa internet, yaani lazima uunge mtandao wa Internet ndio uweze kutumia. Program Vicoba kwa kutumia Computer /PC Program ya Vicoba kwa kutumia PC ni kwa ajiri ya Vikundi vya Vicoba kama ilivyo […]

Pakua Kibaba for Vicoba App

Pakua / Downloa Kibaba Vicoba App hapa

Je, Unatafuta suluhisho la kutunza kumbukumbu za wanachama wa Vicoba na kufanya Hesabu za Gawio / Kufunga kikundi? Karibu Kibaba Vicoba Solution, ni Program ya Kukusaidia kutunza kumbukumbu za wanachama na Kukokota hesabu zote za Wanachama. Features Wanachama Ungozi wa Kikundi Warithi / Wanufaika Hisa Jamii Mikopo Marejesho Miamala Mbalimbali […]