Vicoba App ni app iliyobuniwa kwa ajili ya kurahisisha kazi za vikundi vya Vicoba. App hii inafanya kazi kwa internet, yaani lazima uunge mtandao wa Internet ndio uweze kutumia.
Program Vicoba kwa kutumia Computer /PC
Program ya Vicoba kwa kutumia PC ni kwa ajiri ya Vikundi vya Vicoba kama ilivyo App, tofauti ni kuwa unaweza kutumia App kama ynatumia Android na unaweza tumia Version ya Desktop kama unatumia PC.

Jinsi ya Kuingia,
1. Ili kutumia PC/desktop Version bonyeza hapa www.kibaba.co.tz
2. Ili kutumia kwa simu yako download Android app hapa
Leave A Comment?
You must be logged in to post a comment.