Kibaba imepata mwonekano mpya
Tumebadili mwonwkano wa Kibaba Vicoba app, hii ni maandalizi ya toleo jipya linalokuja hivi karibuni.
JINSI MFUMO WA VICOBA UNAVYOFANYA KAZI TANZANIA
VICOBA (Village Community Bank) ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Mfumo huu ulianza Tanzania miaka kumi iliyopita na umeonyesha mafanikio makubwa kwa wanachama wake kuweza kukopeshana, kusaidiana katika matatizo mbalimbali, kuanzisha miradi ya pamoja ya kiuchumi. LENGO/MADHUMUNI YA […]
Vicoba App na Vicoba Program
Vicoba App ni app iliyobuniwa kwa ajili ya kurahisisha kazi za vikundi vya Vicoba. App hii inafanya kazi kwa internet, yaani lazima uunge mtandao wa Internet ndio uweze kutumia. Program Vicoba kwa kutumia Computer /PC Program ya Vicoba kwa kutumia PC ni kwa ajiri ya Vikundi vya Vicoba kama ilivyo […]
Pakua / Downloa Kibaba Vicoba App hapa
Je, Unatafuta suluhisho la kutunza kumbukumbu za wanachama wa Vicoba na kufanya Hesabu za Gawio / Kufunga kikundi? Karibu Kibaba Vicoba Solution, ni Program ya Kukusaidia kutunza kumbukumbu za wanachama na Kukokota hesabu zote za Wanachama. Features Wanachama Ungozi wa Kikundi Warithi / Wanufaika Hisa Jamii Mikopo Marejesho Miamala Mbalimbali […]
Workshop ya mafunzo ya Kibaba MFS kwa wana ViCoBa, Singida
Wakati wa workshop hiyo, washiriki walipota wasaa wa kuuliza maswali na kutoa ushauri mbalimbali juu ya mfumo huu wa Kibaba, pia kulikuwa na wasaa wa majadiliano na kubadilishana uzowefu juu ya mifumo ya kielekitroniki.
Programu ya Kibaba MFS itamnufaishaje mwanachama wa VICOBA ?
Siri moja wapo ya kuwa tajiri ni kujenga tabia ya kuweka akiba. Kwa wajasiriamali wadogo swala la kuweka pesa zao benki na kukopa huwa ni swala gumu hasa vijijini ambako hakuna huduma hiyo, kuna njia nyingine
Kuku aliyekwapua Fedha za ViCoBa – Tanzania Daima
Aidha katibu huyo allisema mpaka sasa hawaelewi cha kufanya na badala yake wanaendelea kusuburi kitakachojili kwani wanamtegemea mungu kama ndie muweza wa yote
Je, unaujua Faida za ViCoBa kwa wananchi wa hali ya chini
Familia ambazo zimekuwa zikijihusisha na vikundi hivi, zimeukuza uchumi na kupiga hatua nzuri ya kujikimu.
Je, Unatafuta Programu kwa ajili ya Kikundi chako cha ViCoBa ?
Vicoba ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kutoka kwenye umaskini. Mfumo wa uendeshaji wa kikundi cha ViCoBa hutofautiana katika sheria na utaratibu kulingana na matakwa ya wanachama. Kikundi cha ViCoBa kinakuwa na Wanachama wasiozidi 30, Kikundi kinajiwekea utaratibu […]