Ununuaji wa hisa au michango ndio uti wa mgongo wa Vicoba. Sasa kama unataka kuingiza mchango/hisa za wanachama ni kama ifuatavyo

Chagua Mwanachama
Hapa utachagua jina la Mwanachama ambae unahitaji kuweka hisa au mchango wake.
Kiasi
Kiasi cha pesa au thamani ya hisa alizonunua zitawekwa hapa
kisha hifadhi taarifa
Tazama Hisa/Michango iliyoingizwa tayari
