Hapa utaingiza fedha kwa ajiri ya Mfuko wa Jamii.
- Kwanza chagua jina la Mwanachama
- Ingiza fedha kwa kipengele jamii – Kipengele hiki ni si cha kuongeza bali kipo by default, na kiasi chake kinawekwa kwenye Sheria za Kikundi.
- Sehemu zine zote huja baada ya kuongeza mfuko au mifuko mipya kwa shughuli maalum.