Wakala atawajibika kuleta taarifa zote muhimu zikiwemo (Simu, email, anuani ya Posta na Eneo) za Kikundi anacho kisajiri, hii itasaidia kuvifikia vikundi ambapo Wakala atakua ameacha uwakala.
About Kibaba VS
Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi vya Vicoba. Kibaba imetengenezwa kwa kufuata model ya ViCoBa.