Je, Unatafuta suluhisho la kutunza kumbukumbu za wanachama wa Vicoba na kufanya Hesabu za Gawio / Kufunga kikundi?
Karibu Kibaba Vicoba Solution, ni Program ya Kukusaidia kutunza kumbukumbu za wanachama na Kukokota hesabu zote za Wanachama.
Features
- Wanachama
- Ungozi wa Kikundi
- Warithi / Wanufaika
- Hisa
- Jamii
- Mikopo
- Marejesho
- Miamala Mbalimbali
- Akaunti Tasilimu / Akaunti Benki
- Kibaba Changu
Leave A Comment?
You must be logged in to post a comment.