
Hapa utaona orodha ya wanachama wote waliosajiliwa kwenye Kikundi chako.
Futa Mwanachama
Ukitaka kufuta mwanachama aliyesajiliwa bonyeza kitufe chekundu upande wa kulia. Utapata Onyo la kunfuta uanachama, ukikubali kufuta Mwanachama atafutika.
Kwa wanachama ambao wamesha anza kuchangia hutoweza kuwafuta.
Kuhariri Mwanachama
Ili uweze kuhariri (Edit) Mwanachama basi bonyeza kitufe cha kijani ili uweze kuhariri taarifa za Mwanachama.
Tafuta Mwanachama (Search)
Unaweza tafuta Mwanachama kwa kusechi jina lake