Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Weka attachment kwenye Transactions zote

Hello Kibaba Team,

Naomba uweke attachment kwa kila muamala unaofanywa iwe kwenye ununuzi wa Hisa za Vicoba, Jamii, Mikopo na hata Marejesho.

hii itasaidia wale wanaoweka pesa bank au kwa simu kuweka kithibitisho cha malipo kama kiambatanishi.

Natanguliza Shukrani zangu.

Rose.

Hello Rose,

Asante kwa kutumia Kibaba Vcoba solution.

Tulipata request za kuweka hii feature na tumeiweka na itakuwa pamoja na zingine kwenye toleo linalofuata la Kibaba Vicoba Solution.

Tunatarajia kabla ya tarehe 30 Nov, 2020 itakuwa tayari, tunaomba uendelee kuwa karibu na mitandao yetu ili kujua zaidi.

 

Nadhani hii pia nahitaji tadhali