Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Sehemu ya Fedha imepotea

Dah. Nimejaribu kuingiza data. Dah. Neno fedha limepotea badala yake naona gawio. Hapa nakwama

Ooooh, Pole, Itakuwa umeingia kama user wa kawaida, Inabidi uingie kama admin

Bado nimeshindwa kuona sehemu ya Fedha

ili uingie kama Admin, lazima utumie ile akaunti yako uliyofungulia maana wanachama wengine wakiimgia hawawezi kuona sehemu ya Fedha

Ndo hvo nimeingilia acc yangu lkn pale hapaoneshi fedha bali ni gawio

Okay,

  1. Nenda kwenye MPANGILIO WA MFUMO
  2. ingia kwenye Kipengele cha Sheria
  3. nenda kwenye kipengele (Tab) cha Gawio
  4. Ondoa ile tiki unayoiona pale kwenye Gawio
  5. Hifadhi taarifa - Umemaliza hapo

Ukiweka hiyo tiki kwenye Gawio maana yake mfumo unajifunga taayari kwa ajiri ya kugawana Fedha

Ahsant sana, Tyr nimeona ase

Karibu, Any time