Sehemu ya Fedha imepotea
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 5:55 pmDah. Nimejaribu kuingiza data. Dah. Neno fedha limepotea badala yake naona gawio. Hapa nakwama
Dah. Nimejaribu kuingiza data. Dah. Neno fedha limepotea badala yake naona gawio. Hapa nakwama
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 5:57 pmOoooh, Pole, Itakuwa umeingia kama user wa kawaida, Inabidi uingie kama admin
Ooooh, Pole, Itakuwa umeingia kama user wa kawaida, Inabidi uingie kama admin
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 5:59 pmBado nimeshindwa kuona sehemu ya Fedha
Bado nimeshindwa kuona sehemu ya Fedha
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 6:01 pmili uingie kama Admin, lazima utumie ile akaunti yako uliyofungulia maana wanachama wengine wakiimgia hawawezi kuona sehemu ya Fedha
ili uingie kama Admin, lazima utumie ile akaunti yako uliyofungulia maana wanachama wengine wakiimgia hawawezi kuona sehemu ya Fedha
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 6:02 pmNdo hvo nimeingilia acc yangu lkn pale hapaoneshi fedha bali ni gawio
Ndo hvo nimeingilia acc yangu lkn pale hapaoneshi fedha bali ni gawio
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 6:07 pmOkay,
- Nenda kwenye MPANGILIO WA MFUMO
- ingia kwenye Kipengele cha Sheria
- nenda kwenye kipengele (Tab) cha Gawio
- Ondoa ile tiki unayoiona pale kwenye Gawio
- Hifadhi taarifa - Umemaliza hapo
Ukiweka hiyo tiki kwenye Gawio maana yake mfumo unajifunga taayari kwa ajiri ya kugawana Fedha
Okay,
- Nenda kwenye MPANGILIO WA MFUMO
- ingia kwenye Kipengele cha Sheria
- nenda kwenye kipengele (Tab) cha Gawio
- Ondoa ile tiki unayoiona pale kwenye Gawio
- Hifadhi taarifa - Umemaliza hapo
Ukiweka hiyo tiki kwenye Gawio maana yake mfumo unajifunga taayari kwa ajiri ya kugawana Fedha
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 6:08 pmAhsant sana, Tyr nimeona ase
Ahsant sana, Tyr nimeona ase
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 6:09 pmKaribu, Any time
Karibu, Any time