Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Naomba mwongozo kabla sija ingia

Naomba mwongozo kabla sija ingia Kama naweza kutumia kwa majaribio sawa ili niweze kutoa elimu na kwa wanakikundi wenzangu

Okay wewe umesha jisajili ? Kwenye app

Nilijisajili Bila kupitia app jioni hii nikiwa nakaribia kuitumia japo sijaielewa vizuri namna ya kuitumia

Sawa ili uweze kufanya mabadiko au mipangilio ikiwemo kuingiza majina ya wanakikundi wengine, basi lazima utumie app kama admin

Namanisha nilifungua lakini utaratibu wa kuediti bado sijautambua

Okay kama admin
1. Nenda kwenye settings
2. Tafuta sehemu imeandikwa “tumia kama admin”
Si unatumia kwa kiswahili?

Ndio

Je umeweza kwenda kwenye ukurasa wa admin?
Sasa hapo utaweza kufanya kila kitu, iliwemo kuingiza taarifa za kikundi

Ndio, asante