Naomba mwongozo kabla sija ingia
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:42 amNaomba mwongozo kabla sija ingia Kama naweza kutumia kwa majaribio sawa ili niweze kutoa elimu na kwa wanakikundi wenzangu
Naomba mwongozo kabla sija ingia Kama naweza kutumia kwa majaribio sawa ili niweze kutoa elimu na kwa wanakikundi wenzangu
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:44 amOkay wewe umesha jisajili ? Kwenye app
Okay wewe umesha jisajili ? Kwenye app
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:44 amNilijisajili Bila kupitia app jioni hii nikiwa nakaribia kuitumia japo sijaielewa vizuri namna ya kuitumia
Nilijisajili Bila kupitia app jioni hii nikiwa nakaribia kuitumia japo sijaielewa vizuri namna ya kuitumia
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:46 amSawa ili uweze kufanya mabadiko au mipangilio ikiwemo kuingiza majina ya wanakikundi wengine, basi lazima utumie app kama admin
Sawa ili uweze kufanya mabadiko au mipangilio ikiwemo kuingiza majina ya wanakikundi wengine, basi lazima utumie app kama admin
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:46 amNamanisha nilifungua lakini utaratibu wa kuediti bado sijautambua
Namanisha nilifungua lakini utaratibu wa kuediti bado sijautambua
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:47 amOkay kama admin
1. Nenda kwenye settings
2. Tafuta sehemu imeandikwa “tumia kama admin”
Si unatumia kwa kiswahili?
Okay kama admin
1. Nenda kwenye settings
2. Tafuta sehemu imeandikwa “tumia kama admin”
Si unatumia kwa kiswahili?
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:47 amNdio
Ndio
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:48 amJe umeweza kwenda kwenye ukurasa wa admin?
Sasa hapo utaweza kufanya kila kitu, iliwemo kuingiza taarifa za kikundi
Je umeweza kwenda kwenye ukurasa wa admin?
Sasa hapo utaweza kufanya kila kitu, iliwemo kuingiza taarifa za kikundi
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:49 amNdio, asante
Ndio, asante