Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Mtu mmoja Account mbili kwenye Kibaba

Je, naweza kufungua akaunti zaidi ya moja kwenye kibaba?

yaani email yangu inaweza kuwa na Accounti nyingi amabazo mimi ninazimanage?

Kwasasa hapana huwezi. Akaunti moja kikundi kimoja.

Okay, ila naona ni muhimu kufanyiwa kazi swala hili, haswa kwa sisi walimu tunavilundi vingi

Nakutana na chanamoto hii pia kwenye Kibaba.

Mimi ni mwalimu wa Vicoba na nina vicundi zaidi ya 7 na vyote mimi ni mwanachama. Sasa nimegundua huwezi tumia zaidi ya kikundi kimoja, hebu angalieni kama utaweza kufanya kitu kwenye swala hili