Mtu mmoja Account mbili kwenye Kibaba
Quote from Kombe Langa on May 6, 2020, 7:25 pmJe, naweza kufungua akaunti zaidi ya moja kwenye kibaba?
yaani email yangu inaweza kuwa na Accounti nyingi amabazo mimi ninazimanage?
Je, naweza kufungua akaunti zaidi ya moja kwenye kibaba?
yaani email yangu inaweza kuwa na Accounti nyingi amabazo mimi ninazimanage?
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 7:36 pmKwasasa hapana huwezi. Akaunti moja kikundi kimoja.
Kwasasa hapana huwezi. Akaunti moja kikundi kimoja.
Quote from Kombe Langa on May 6, 2020, 7:39 pmOkay, ila naona ni muhimu kufanyiwa kazi swala hili, haswa kwa sisi walimu tunavilundi vingi
Okay, ila naona ni muhimu kufanyiwa kazi swala hili, haswa kwa sisi walimu tunavilundi vingi
Quote from Justina Mlee on November 11, 2020, 12:15 pmNakutana na chanamoto hii pia kwenye Kibaba.
Mimi ni mwalimu wa Vicoba na nina vicundi zaidi ya 7 na vyote mimi ni mwanachama. Sasa nimegundua huwezi tumia zaidi ya kikundi kimoja, hebu angalieni kama utaweza kufanya kitu kwenye swala hili
Nakutana na chanamoto hii pia kwenye Kibaba.
Mimi ni mwalimu wa Vicoba na nina vicundi zaidi ya 7 na vyote mimi ni mwanachama. Sasa nimegundua huwezi tumia zaidi ya kikundi kimoja, hebu angalieni kama utaweza kufanya kitu kwenye swala hili