Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Mikopo haineshi riba nilaiweka

Nimeseti riba 10% lkn haionekani, nikiangalia mikopo ktk eneo la riba inaandika ni 0

Uliweka kwanza 10% ndo ukaingiza mikopo au ulianza kuingiza mikopo?

Niliandika mikopo kwanza ndo nikaweka, na baada ya hapo niliendelea kuandika Riba ya 10% kwenye Settings

ulitakiwa uweke kwanza settings za riba then uingize mikopo. Mikopo huwezi ku edit ila unaweza kuifuta. ila kama umeanza kuingiza marejesho yake, pia hutoweza kufuta mkopo.

ila cha kufanya futa huo mkopo uloingiza, kisha hakikisha umeweka kiwango cha riba unachotaka, alafu ndo uanze kuingiza kikopo upya.

Asante Kaka