Mikopo haineshi riba nilaiweka
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 6:26 pmNimeseti riba 10% lkn haionekani, nikiangalia mikopo ktk eneo la riba inaandika ni 0
Nimeseti riba 10% lkn haionekani, nikiangalia mikopo ktk eneo la riba inaandika ni 0
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 6:27 pmUliweka kwanza 10% ndo ukaingiza mikopo au ulianza kuingiza mikopo?
Uliweka kwanza 10% ndo ukaingiza mikopo au ulianza kuingiza mikopo?
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 6:28 pmNiliandika mikopo kwanza ndo nikaweka, na baada ya hapo niliendelea kuandika Riba ya 10% kwenye Settings
Niliandika mikopo kwanza ndo nikaweka, na baada ya hapo niliendelea kuandika Riba ya 10% kwenye Settings
Quote from Frank Mwasalukwa on May 6, 2020, 6:32 pmulitakiwa uweke kwanza settings za riba then uingize mikopo. Mikopo huwezi ku edit ila unaweza kuifuta. ila kama umeanza kuingiza marejesho yake, pia hutoweza kufuta mkopo.
ila cha kufanya futa huo mkopo uloingiza, kisha hakikisha umeweka kiwango cha riba unachotaka, alafu ndo uanze kuingiza kikopo upya.
ulitakiwa uweke kwanza settings za riba then uingize mikopo. Mikopo huwezi ku edit ila unaweza kuifuta. ila kama umeanza kuingiza marejesho yake, pia hutoweza kufuta mkopo.
ila cha kufanya futa huo mkopo uloingiza, kisha hakikisha umeweka kiwango cha riba unachotaka, alafu ndo uanze kuingiza kikopo upya.
Quote from willhard sylvestor on May 6, 2020, 6:33 pmAsante Kaka
Asante Kaka