Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Kipengele cha NIDA kwenye taarifa za Mwanachama

Habari zenu.

Nimegundua kuwa hakuna kipengele cha kitambulisho cha Taifa cha NIDA, je uwezekano wa kukiweka hicho upo, kama inawezekana, Pls tuwekeeni

 

Shukrani!!

Hello Justina,

Ni kweli hatujaweka kipengele cha NIDA, naomba nichukue maombi haya niyafanyie kazi haraka iwezekanavyo.

Asante kwa kutumia Kibaba

Asante Frank, nitaisubiria hicho kipengele