Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.
Je mwanachama nitakaye mwongeza hawezi kubadili taarifa zilizo wekwa?
December 31, 2020, 8:50 am
December 31, 2020, 8:52 am
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:50 amJe mwanachama nitakaye mwongeza hawezi kubadili taarifa zilizo wekwa?
Je mwanachama nitakaye mwongeza hawezi kubadili taarifa zilizo wekwa?
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:52 amwanachama utakaowaongeza watabaki kuwa ni watumiaji wa kawaida, hawatokuwa na uwezo wa kubadili chochote, labda kama utabadili mwanachama awe Admin
wanachama utakaowaongeza watabaki kuwa ni watumiaji wa kawaida, hawatokuwa na uwezo wa kubadili chochote, labda kama utabadili mwanachama awe Admin
Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi vya Vicoba. Kibaba imetengenezwa kwa kufuata model ya ViCoBa.