Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Je mwanachama nitakaye mwongeza hawezi kubadili taarifa zilizo wekwa?

Je mwanachama nitakaye mwongeza hawezi kubadili taarifa zilizo wekwa?

wanachama utakaowaongeza watabaki kuwa ni watumiaji wa kawaida, hawatokuwa na uwezo wa kubadili chochote, labda kama utabadili mwanachama awe Admin