Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Habari, natamani kujua zaidi kuhusu Kibaba inavyofanya kazi

Nahitaji elimu zaidi kuhusu kibaba

Kibaba ni application ya simu na Pc iliyotengenezwa kusaidi kwenye ufanyaji kazi wa kila siku wa vikundi vya Vicoba na vikundi vingine vinavyo fanana.

Kibaba itasimamamia utunzaji wa taarifa za
Hisa, Mifuko ya Jamii, Mikopo, majejesho na Gawio kwa wanachama muda ukifika.

Sisi tunasaidia vikundi kutunza taarifa ki-electronic, badala ya kuhifadhi kwenye vitabu/karatasi

App inapatikana kwenye google playstore 👉https://bit.ly/kibapp napia unaweza kuipata ukiwa na computer yako kwa http://www.kibaba.co.tz

Wanachama wa vicoba watakao hitaji platform hii watalipia 5,000/yr kwa mtu mmoja. Mfano kikundi kina watu 15 basi x5,000 =75,000 kwa mwaka

🙏 Karibu sana

Kwenye play store haipatikani app hii inaendeshwa na Nani?

Google play store inapatikana kwa jina la Vicoba
Hii app inaendeshwa na Kampuni ya Luton Consult kwa pamoja na Soft Labs inc