Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Admini anakuwa na uwezo wa kuwaunga wanachama?

Admini anakuwa na uwezo wa kuwaunga wanachama?
Na kiingilio Cha kujiunga kinatumwa baada ya mda gani?

Ndio, admin akishaunda kikundi kwenye app, ataingiza majina ya wanachama wote, kisha ataingiza taarifa zao za fedha

Kikundi chaweza kutumia kwa miezi 3 bila kulipia, baada ta muda huo kwisha kikundi kitalipa 5,000 kwa kila mwanachama

Pia kwa kutumia namba zao za simu wanachama wengine pia wanaweza kuingia kwenye app