Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.
Admini anakuwa na uwezo wa kuwaunga wanachama?
December 31, 2020, 8:37 am
December 31, 2020, 8:39 am
December 31, 2020, 8:39 am
December 31, 2020, 8:40 am
Quote from Yusufu Nyongole on December 31, 2020, 8:37 amAdmini anakuwa na uwezo wa kuwaunga wanachama?
Na kiingilio Cha kujiunga kinatumwa baada ya mda gani?
Admini anakuwa na uwezo wa kuwaunga wanachama?
Na kiingilio Cha kujiunga kinatumwa baada ya mda gani?
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:39 amNdio, admin akishaunda kikundi kwenye app, ataingiza majina ya wanachama wote, kisha ataingiza taarifa zao za fedha
Ndio, admin akishaunda kikundi kwenye app, ataingiza majina ya wanachama wote, kisha ataingiza taarifa zao za fedha
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:39 amKikundi chaweza kutumia kwa miezi 3 bila kulipia, baada ta muda huo kwisha kikundi kitalipa 5,000 kwa kila mwanachama
Kikundi chaweza kutumia kwa miezi 3 bila kulipia, baada ta muda huo kwisha kikundi kitalipa 5,000 kwa kila mwanachama
Quote from Frank Mwasalukwa on December 31, 2020, 8:40 amPia kwa kutumia namba zao za simu wanachama wengine pia wanaweza kuingia kwenye app
Pia kwa kutumia namba zao za simu wanachama wengine pia wanaweza kuingia kwenye app
Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi vya Vicoba. Kibaba imetengenezwa kwa kufuata model ya ViCoBa.