Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Admin zaidi ya mmoja kwenye kikundi

Habari,

Nataka kugawa majukumu kwenye kikundi chetu, ila nimegundua kuwa Admin pekee ndie mwenye uwezo wa kuongeza na kupunguza taarifa kwenye Kibaba, Je, naweza kumkaimisha mwanachama mwengine awe admin?

Habari Justina.

Kwa bahati nzuri tunayo hiyo feature tayari kwenye Kibaba.

Kwenye Desktop (Kompyuta)

  1. Nenda kwenye menyu ya Wanachama --->
  2. Chagua wanachama  --->
  3. Kisha chagua mwanachama ambaye unataka abadilishea Uwezo wake

Kwenye Smartphone

  1. Kenye Mipangilo  --->
  2. Usalama   --->
  3. Waendesha App
  4. Kisha chagua mwanachama wa kumuongezea uwezo

Basi, kama utakutana na changamto kwenye Mfumo huu wa Vicoba usisite kutuandikia.

Asante kwa kutumia Kibaba Vicoba Solution