Admin zaidi ya mmoja kwenye kikundi
Quote from Justina Mlee on November 11, 2020, 12:19 pmHabari,
Nataka kugawa majukumu kwenye kikundi chetu, ila nimegundua kuwa Admin pekee ndie mwenye uwezo wa kuongeza na kupunguza taarifa kwenye Kibaba, Je, naweza kumkaimisha mwanachama mwengine awe admin?
Habari,

Quote from Frank Mwasalukwa on November 11, 2020, 12:32 pmHabari Justina.
Kwa bahati nzuri tunayo hiyo feature tayari kwenye Kibaba.
Kwenye Desktop (Kompyuta)
- Nenda kwenye menyu ya Wanachama --->
- Chagua wanachama --->
- Kisha chagua mwanachama ambaye unataka abadilishea Uwezo wake
Kwenye Smartphone
- Kenye Mipangilo --->
- Usalama --->
- Waendesha App
- Kisha chagua mwanachama wa kumuongezea uwezo
Basi, kama utakutana na changamto kwenye Mfumo huu wa Vicoba usisite kutuandikia.
Asante kwa kutumia Kibaba Vicoba Solution
Habari Justina.