Mwongozo huu unamuhusu Mtu yeyote wa pili asiye mfanyakazi au mshauri (consultant) wa Luton Consult na kampuni zake dada za (Kibaba VS, Kibaba MFS na Smart Labs).
Mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18+ anaweza kuwa wakala wa Kibaba VS kwa kujisali bure kwenye Tovuti ya Kibaba ambayo ni www.kibaba.co.tz kisha kuweza kusajiri vikundi mbalimbali vya ViCoBa na vingine vya aina hiyo vyenye uhitaji wa kutumia mfumo huu wa Kibaba Vicoba Solution.