Wakala atakuwa amejiondoa mwenyewe kuwa wakala kama atafanya yafuatayo
- Kutofuata sheria za Nakala hii
- Kufanya Kosa la Jinai na Mahakama kuthibisha
- Malalamiko kutoka kwa Wateja na kujiridhisha ni malalamiko ya kweli
- Kutofikisha michango / Ada za wateja
- Kuamua mwenyewe kuacha
- Kutoza Ada zaidi ya 10% ya bei Pendekezwa