Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Maombi ya Kupunguziwa bei

Naomba punguzo la bei ukizingatia kikundi cha Vicoba ndo kina anza na mtaji ni mdogo

Tafadhali ntakuomba utume email kwa vicoba@kibaba.co.tz na ueleze kwanini unataka punguzo la 5,000 na unataka kununua kwa kiazi gani kwa kila mwanachama.