Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Malipo Pungufu

Je tukiwa wanachama 10 mmoja akishindwa kulipia ada Nini kitatokea au tumtoe
Na Kuna maboresho mengine yata kuwepo

Ada inalipwa na kikundi sio mtu mmoja mmoja
kama ndani ya siku 90 pesa kama haijalipwa au imelipwa nusu au haijakamilika kama idadi ya watu kwenye kikundi, basi itakata mpaka utakapolipia

Vipi juu ya kuprint taarifa mfumo unaruhusu

kwa kutumia PC kwa sasa, soon tutakuwa na kuprint kwa simu

Hii ya kuprint itapendeza kusaidia kutoa taarifa ya mwenendo wa kikundi pindi tukihitaji kuwezeshwa na taasisi mbalimbali

sawa, wazo zuri sana, tunalifanyia kazi