Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Kibaba ya kwenye Computer

Kibaba inapatikana kwenye mtandao wa internet kwa anuani ya http://www.kibaba.co.tz na wana vicoba wanaweza kujiunga na kuunda vikundi vyao bila tatizo lolote.

ukiwa na akaunti ya kibaba kwa kutumia Computer yako, akaunti hiyo waze pia kuitumia kwenye App ya Kibaba kwa kutumia Simu ya mkononi.

Uploaded files:
  • kibabalogin.jpg