Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Kibaba Vicoba Solution inapatikana kwenye Simu na Tablet

Kibaba VS imetengenezwa kukidhi watumiaji wote wa Computer na wa simu za kiganjani.

Kuna njia mbili.

  1. Kudownload kwenye Playstore ya Google kwa wenye simu za Android.
  2. Kuweka kwenye home screen kwa watumiaji wa iPhone
Uploaded files:
  • whatsapp.jpg

Unaweza tumia link hii https://bit.ly/kibapp kwenda moja kwa moja kwenye android Google Playstore.