Jinsi ya kuipa uhai Akaunti ya Kibaba VS

Ukisha jisajili kwenye Mumo wa Kibaba VS, barua pepe itatumwa kwenda kwenye Akaunti yako ya barua pepe (Email).

Fungua Email iliyotokea Kibaba VS kisha fata neno “Click here to verify” kwa maandishi ya Buluu.

Kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye tovuti na kuambiwa kama umefanikiwa kuipa uhai Akaunti yako. kisha utaenda kuingia rasmi kwenye Programu ya Kibaba VS

Was this article helpful?

Related Articles