Forum Navigation
You need to log in to create posts and topics.

Salio anzia tunaweka wapi kwenye Kibaba?

Namaanisha mtu akiingia anaweka salio la kuanza nalo ili ku boost mkopo wake. Hii inategemeana na kikundi. Wengine salio la 100,000 wengine 50,000

Well,

hii unaweza kuingiza hizo taarifa za fedha kama hisa binafsi kwa mwanachama husika, na hiyo pesa kama inaenda kuboost mkopo ni sawa tuu na mchango au ununuzi wa hisa sema inakuwa imeingizwa nyingi na kwa mara moja.