Vipengele vya Ajabu

Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uvumbumbue vipengele nya ajabu na uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama.

 • PC | SIMU | TABLETI

  Ukiwa kwenye simu, Tableti au Kompyuta Kibaba inaweza kufanya kazi kwa ufanisi ulele

 • Rahisi Kuifanya Yako

  Unaweza ukairekebisha ifanane na sheria za kikundi chako cha Vikoba

 • Mfumo wa Kifedha

  Imetengenezwa kukuwezesha kuhifadhi na kufanya maamuzi ya kifedha

 • Rahisi Kuitumia

  Kama ilivyo rahisi kutumia mtandao wa Jamii, na kibaba ni rahisi pia.

Ionekanavyo kwenye simu
 • Lipia Mara Moja Tu

  Kibaba inauzwa mara moja tuu, na ada kwa ajiri ya Msaada na Matengenezo hutolowa mara moja kwa mwaka

 • Popote Ulipo

  Hutoweza kupoteza taarifa zozote za wanachama kutokana na Matatizo mbalimbali

 • Kibaba ni Rafiki

  Kibaba inakupenda, itakusaidia, tafadhali na wewe ipende pia.

 • Msaada kwa 24/7

  Msaada kwa watumiaji ni masaa 24/7, Hewani, kwa maongezi, sms na hata barua pepe.

Jinsi ifanyavyo Kazi

Tazama Video hii ya Edo hapo chini, Je, wewe unapata tatizo kama la Edo?, Tatua tatizo la kuhifadhi kumbukumbu za ViCoBa kwa kutumia Kibaba MFS

Bei Zetu

Bei ya Kibaba ni Moja tu?, ila mwaka unaofata utalipia kiasi kidogo ili uweze kupata huduma hii.

Kibaba MFS

Tsh 150,000/-

 • Hifadhi Taarifa Bila kikomo
 • Usasisho wa Mfumo Bure
 • Huduma Masaa 24/7
 • Utaipata huduma popote
 • Msaada kwa mtumiaji bila kikomo
Miaka mingine

Tsh 25,000/Mwaka

 • Hifadhi Taarifa Bila kikomo
 • Usasisho wa Mfumo Bure
 • Huduma Masaa 24/7
 • Utaipata huduma popote
 • Msaada kwa mtumiaji bila kikomo

Kibaba Picha mwonekano

Picha mbalimbali (Screenshorts) za mwonekano wa Kibaba MFS. Jinsi inavyo onekana kwenye Vifaa mbalimbali

Kibaba MFS Inapatikana

Usihofu kwamba lazima ununue Compyuta, Tableti au Simu, Mfumo huu unaweza kuupata kupitia Browser yoyote na kifaa chochote chenye uwezo wa Intaneti

Kwa Ajiri ya Nani?

Je, wewe unafanya kazi inayohusiana na Kuweka na Kukopeshana ?, Mfumo huu wa Kibaba ni kwa ajiri yako, unaweza kufanya mengi na Mfumo huu.

testimonial img

Wanachama

Mfumo huu unaweza kusajiri idadi yote ya Wanachama katika kikundi cha ViCoBa. Pia unaweza kuhifadhi Taarifa mbalimbaliza wanachama hao.

testimonial img

Taarifa za Hisa

Ukiwa na Kibaba MFS, ukusanyaji wa taarifa za Kifedha ikiwemo ununuzi wa Hisa za wanachama na kuona idadi ya Hisa za kila mwanachama

testimonial img

Mikopo ya Hisa na Jamii

Mfumo unawezesha kuhifadhiwa kwa taarifa za Mikopo yote ya Wanachama na utaratibu wa urejeshwaji wa mikopo hiyo.

testimonial img

Mfuko wa Jamii

Kwa kutumia Kibaba MFS, utaweza kuweka kumbukumbu za michango ya mfuko wa Jamii.

testimonial img

Mengineyo

Mfumo huu ina vipengele vingine vingi kwa ajiri ya kukusaidia wewe kufanya kazi kwa urahisi zaidi.

Jiunge kwenye Jarida Letu

Unaweza kujiunga ili kupata mambo mbalimbali yanayojiri kutoka kwetu na wadau mbalimbali wa mfumo huu wa Kibaba MFS.