Kibaba MFS

Tsh. 150,000 / -

Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa, Saccos, Upatu.

Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama. Hii itasaidia Kikundi kuachana na utegemezi pekee wa Kadi, Vitabu vya hesabu na Excel (Spreadsheet).

Yote Kuhusu Kibaba

*VIPENGELE (Features)*
01. Taarifa mahususi za wanachama
02. Michango
03. Michango Maalum
04. Michango ya Mifuko Maalumu
05. Mikopo
06. Marejesho
07. Transactions (Kitabu cha Mahesabu)
08. Akaunti za Fedha
09. Uhamishaji Fedha
10. Matangazo
11. Ufanyaji maamuzi kwa kupiga Kura

tunakaribisha Vikundi kujisajiri kwa ajiri ya majaribio(Demo) kupitia tovuti yetu ya www.kibaba.co.tz

[sgrb_review id=1]