Toleo Jipya No. 2.7.0 limetolewa

Sasisho jipya la Kibaba limetoka Tarehe 14 October 2017. Toleo hilo jipya limeongeza vipengele vya Usalama (Security Features) kwa kuongeza Secure Socket Layer – SSL na Uwezo wa Programu kurekodi taarifa za mikopo kutoka nje ya kikundi. Toleo hili pia limewezesha wanachama wa ViCoBa kutumia namba ya Simu kuingia kwenye […]

Nini Kibaba inaweza Kufanya Mpaka sasa

Kibaba MFS ni Program ilobuniwa ili kurahisisha kazi za kila siku za kutunza taarifa kwenye vikundi vya ViCoBa. Program hii itakuwezesha kutunza taarifa za Wanachama na taarifa za Fedha na michango yote ya kila siku iliwemo mikopo na Marejesho. Nini inaweza Kufanya Kutafsiri sheria za kikundi cha ViCoBa na kuambatanisha […]

Link to External Viewer

Kitambulisha cha Mwangalizi wa Nje ( LTEV)

Kibaba Imefanya maboresho mapya ya mfumo wake wa Kibaba, na sasa kuna toleo jipya la Kibababa Toleo Na. 2.1.0. Pamoja na  mabadiliko mengi, Tumeongeza kipengele kilichokuwa kinasubiriwa na Waratibu wa Wilaya na Kitaifa kuoka Taasisi mbalimbali Tanzania nzima. Kipengele hicho kipya (New Feature) Kinaitwa Link to External Viewer au kwa […]