Jinsi ya kununua Kibaba MFS kwa Awamu

Punguza Makali, Nunua kwa Awamu

  • Mwezi wa Kwanza

    Kila mwanachama anachangia Tsh. 2,500 /- ambapo kwa kikundi cha watu 30 ni Tsh. 75,000

  • Mwezi wa Pili

    Kila Mwanachama akichangia Tsh 2,500/- takuwa tumepata Tsh 75,000

  • Miliki Kibaba

    Kwa Kiasi cha Tsh. 150,000 kikundi cha ViCoBa kitakuwa kinamiliki Programu ya Kibaba

simu-kibaba

Kibaba ni nini ?

Kibaba ni Programu inayotumiwa na vikundi vya ViCoBa, na Kazi kubwa ni kutunza kumbukumbu na kurahisisha shughuli za kila siku.

Bei ya Kibaba

Kikundi kinaweza kimiliki Programu ya Kibaba kwa Tsh. 150,000 tu, na inaweza kulipwa kwa awamu.

Msaada 24/7

Timu ya Kibaba MFS ipo kukusaidia kwa saa 24/7 mwaka mzima

Vifaa vyote vya Internet

Kibaba unaweza itumia popote kwa kutumia simu janja, Tablet au Computer
0
Idadi ya Vikundi mpaka sasa
0
Wanachama