Jaribu Mfumo wa Kibaba MFS (Demo)

Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa, MFI na Upatu.

Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama. Hii itasaidia Kikundi kuachana na utegemezi pekee wa Kadi, Vitabu vya hesabu na Excel (Spreadsheet).

Waweza Jaribu Kibaba MFS

Administratror (Uwezo mkuu)
    Username: admin
    Password: 123456

Mtumiaji wa Kawaida (User)
     Username: user
     Password: 123456